Kuhusu mPlay

mPlay by mkinguzi360 ni jukwaa la burudani la Kitanzania linalokuwezesha kutazama filamu na series bila usajili wa kila mwezi. Unalipa tu kichwa unachotaka kutazama.

Malipo yanafanyika kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Halopesa. Baada ya malipo kukamilika, unaanza kutazama papo hapo kwenye simu, tablet au kompyuta.

Kama hujapata filamu unayoitaka, tuma ombi kupitia ukurasa wa Request na timu yetu itaipakia kwa haraka.

Wasiliana nasi WhatsApp

PATA MSAADA WA HARAKA